Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interview

Mficha maradhi kifo humuumbua, wewe sema tu ni NGO gani kwa kutaja jina post office yao ni ipi na website yao ni ipi isije ikawa ni wale Wanigeria na Wakenya ambao post zao zilishatumwa sana humu JF na aina zao za email walizotumiwa watu humu walishatuma sana sasa wewe ukawa hujaziona ndiyo hujajua kama ni kupigwa kitu kizito au laah.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom