Mwenye uzoefu na biashara ya kukodi gari za abiria daladala pitia hapa

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu msaada tafadhali miaka ya nyuma nimewahi kusikia hii biashara ya kukodi costa au Eacher izi daladala za town kisha unampa mwenye gari chake km ni cha weak au 2weak af wew unaingia mzigoni kutafuta chako.
Naomba msaada nijaribu fursa.
 
Maelezo hayatoshi mkuu labda ungesema umeona fursa gani kiasi fulani ningweza kuchangia kwa usahihi

Kuna aina nyingi za Kukodi gari lakini pia kuna masharti kutokana na anayekukodishia gari.mwingine hataki ivyuke nje ya mkoa alipokuwepo yeye au ipige kazi usiku mnene.jaribu kufunguka fursa gani umewaza
 
Mkuu iyo ya ndani ya mkoa mfano gari za tegeta kariakoo zile inakodiwa kwa kiasi gani? Kwa siku na malipo yanalipwa kwa mwezi au weak na dereva analipwa na tajir mwenye gar au wew uliekodi vitu km ivyo nahitaji kujua.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hii kali sijawahi isikia... Madereva wanavyosumbua wacha nikae mko wa kusikilizia kama mpo watu kama nyie nawataka sana basi ninazo ajira kama nne hivi
 
ila mjue msione kama Daladala zipo kazini mkajua tunapata sana... raha ipo tu pale bus linapomaliza siku and then ikaenda wiki hata mbili maisha utayaona hakuna mengine... maana utapata wapenzi wengi Ndugu, Marafiki,Matraffic,Latra, TRA, watoza ushuru vituoni, Waziba pancha, Wauza oil,Mafundi, Wauza Spare bila kusahau ajali za hapa na pale... kuna abiria wana maruhani akisema jambo baya lazima ushinde garage hata wiki au gari iozee huko huko uje kuuza skrepa.. ni balaa balaa tupu... Kam huna Maji ya Baraka basi Dua za Mashehe au Waganga waitembelee... hivi hivi utamaliza miaka chombo kinachakaa huoni kitu na chombo kikioza Trafic wanang'oa plate namba wanakuambia katengeneze body
 
Sasa km ampati mbona amuachi? Ukifanya utafiti kwa mbongo andika maumivu azinafaida na zimejaa kilakona kweli mkuu zakuambiwa ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
ila mjue msione kama Daladala zipo kazini mkajua tunapata sana... raha ipo tu pale bus linapomaliza siku and then ikaenda wiki hata mbili maisha utayaona hakuna mengine... maana utapata wapenzi wengi Ndugu, Marafiki,Matraffic,Latra, TRA, watoza ushuru vituoni, Waziba pancha, Wauza oil,Mafundi, Wauza Spare bila kusahau ajali za hapa na pale... kuna abiria wana maruhani akisema jambo baya lazima ushinde garage hata wiki au gari iozee huko huko uje kuuza skrepa.. ni balaa balaa tupu... Kam huna Maji ya Baraka basi Dua za Mashehe au Waganga waitembelee... hivi hivi utamaliza miaka chombo kinachakaa huoni kitu na chombo kikioza Trafic wanang'oa plate namba wanakuambia katengeneze body

Ahahahah we mzoefu sana..

Mule mule
 
Mkuu iyo ya ndani ya mkoa mfano gari za tegeta kariakoo zile inakodiwa kwa kiasi gani? Kwa siku na malipo yanalipwa kwa mwezi au weak na dereva analipwa na tajir mwenye gar au wew uliekodi vitu km ivyo nahitaji kujua.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Gari unazoongelea mara nyingi hesabu yake ni kwa siku au kwa wiki yale maeicher hesabu yake kwa siku inategemea na root ya wapi ila sio chini ya laki mbili.kwa mfano root ya mbagala makumbusho hesabu yake ilikuwa laki mbili na ishirini kwa sasa sijajua

Unachukua gari kwa boss unapeleka hesabu yake kwa siku au wiki kutokana na makubaliano yenu .suala la kujilipa ni jukumu lako mwenyewe kutokana na pesa inayobakia baada ya kutimiza hesabu ya boss
 
Back
Top Bottom