Mwenye uzoefu Mazda Tribute

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,557
32,179
Wakuu nataka kuagiza Mazda Tribute ili Krismasi mwaka huu 2020 niende nayo kijijini.

Mwenye uzoefu

BH163627_147967.jpeg
 
Mazda Tribute ni chache Bongo hivyo naamini (mimi sina uzoefu nazo) hata spea ni chache pengine wauzaji hawaagiz kwa wingi. Kwa hiyo agiza hiyo gari ukijua siku spea inahitajika unaagiza Japan au Dubai. NB: Iwe gari ya Backup. Huku ukiwa unajidunga na TOYOTA daily
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom