Mwenye uwezo wa sifa za kufundisha chemistry na physics olevel anitafute

mikumi

Member
Jan 22, 2012
21
4
SIFA: LAZIMA UWE UMESOMA DIPLOMA/ DEGREE YA ELIMU CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI NA KUFAULU KWA MASOMA YA CHEMISTRY NA PHYSICS.SHULE WILAYANI KISARAWE NA USAFIRI UKO KILA SIKU YA KAZI SAA 12:30 ASUBUHI BUGURUNI DAR ES SALAAM.MSHAHARA NI MAELEWANO. KWA MAWASSILIANO ZAIDI TUWASILIANE
0713 007977 AU eliud732001@yahoo.com
 
Back
Top Bottom