Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,798
Nimekuwa nikisikia sifa kemkem za mmea wa Azolla kwamba unafaa sana kwa kulishia kuku, ng'ombe na samaki.
Inaelezwa kuwa una kiasi kikubwa sana cha protein, madini na vitamin. Pamoja na kuusoma kwenye mtandao bado sijapata utaalamu wa kutosha.
Naomba mwenye uzoefu wa uzalishaji wa huu mmea anisaidie kuhusu
1. Mbegu zake nitazipata wapi
2. Jinsi kuandaa bwawa au shimo la kuzalishia
3. Vitu muhimu vinavyotakiwa pamoja na gharama nk.
Sent using Jamii Forums mobile app