Mwenye ushahidi kuwa mechi ya Simba vs Yanga iliahirishwa ajitokeze hadharani

Oloisusuki

Member
Mar 27, 2021
14
45
Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo
1: Nani aliahirisha?
2: Kwanini iliahirishwa?

My take:
Mechi ya jana Yanga aligomea kucheza so tusubiri majibu ya TFF na Wizara
 
ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,375
2,000
Wewe umelewa chibuuku sio bure asee aligomea mchezo ni Simba na wala sio yanga kama sheria na kanuni za TFF zikifatwa kama inavyotakiwa kuwa ama kufatwa basi mwenye hatia katika hili ni Simba kifupi Simba alimkimbia Yanga kwa maana muda sahihi wa mechi ilikuwa ni saa kumi na moja jioni huo ndo muda halali sasa Yanga waliingiza timu uwanjani ndani ya muda halali wa mechi Simba wakaingia mitini hawakuingiza timu ivyo kama kuadhibiwa Simba ndo anastahili kuadhibiwa.
 
ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,375
2,000
Zinaweza vunjwa halafu tukasahau kitu kinaitwa yanga
Hakuna Tff bila Yanga ila kuna Yanga bila Tff sawa kinana alafu hayupo mtu ata mmoja anayeweza kuifuta Yanga kwenye ramani ya mpira

Nb hakuna Tff bila Yanga lakini kuna Yanga bila Tff shikilia vyema hili.
 
Oloisusuki

Member
Mar 27, 2021
14
45
Wewe umelewa chibuuku sio bure asee aligomea mchezo ni Simba na wala sio yanga kama sheria na kanuni za tff zikifatwa kama inavyotakiwa kuwa ama kufatwa basi mwenye hatia katika hili ni Simba kifupi Simba alimkimbia Yanga kwa maana muda sahihi wa mechi ilikuwa ni saa kumi na moja jioni huo ndo muda halali sasa Yanga waliingiza timu uwanjani ndani ya muda halali wa mechi Simba wakaingia mitini hawakuingiza timu ivyo kama kuadhibiwa Simba ndo anastahili kuadhibiwa
Fyuuuuuuu....kwan nan anasimamia mpira hapa Tanzania? Simba ndio alibadili muda wa mchezo?????kweli utopolo mmelogwa
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,470
2,000
Wewe umelewa chibuuku sio bure asee aligomea mchezo ni Simba na wala sio yanga kama sheria na kanuni za TFF zikifatwa kama inavyotakiwa kuwa ama kufatwa basi mwenye hatia katika hili ni Simba kifupi Simba alimkimbia Yanga kwa maana muda sahihi wa mechi ilikuwa ni saa kumi na moja jioni huo ndo muda halali sasa Yanga waliingiza timu uwanjani ndani ya muda halali wa mechi Simba wakaingia mitini hawakuingiza timu ivyo kama kuadhibiwa Simba ndo anastahili kuadhibiwa.
Na Yanga walisema mapemaaa kwamba wao wataingiza timu uwanjani saa 11...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom