Mwenye ujuzi wa hili kwa anaesomea diploma ya ualimu wa physics and biôlogy

Og epysam

Member
Jul 14, 2019
42
20
Naomba kujuzwa kwa anaesomea diploma maalumu ya ualimu wa physics and biôlogy je vitabu vya aina gani napaswa kua navyo vitakavyo weza nisaidia katika masomo tajwa chuoni pia ningependa kujuzwa idadi ya masomo ya ziada ntakayosomea chuoni

Mwenye ufaham kwa hili naomba ufafanuzi.
 
Nifate pm mkuu
 
Back
Top Bottom