mwenye ujuzi na simu naomba msaada

5gr

Member
Aug 23, 2017
6
2
Simu yangu ni Tecno J8(boom) inazima na ikizima inaniandikia HIOS IS STARTING na pia inaandika optimizing 10 of 137 kwa anae jua naomba msaada wadau.
 
Yaan ipo dakika ya kumi ikifika ya 137 paap inalipuka! Itupe tuu mkuu bomu hilo!
 
Simu yangu ni Tecno J8(boom) inazima na ikizima inaniandikia HIOS IS STARTING na pia inaandika optimizing 10 of 137 kwa anae jua naomba msaada wadau.
ondoa shaka mkuu....ila inapokuandikia optimizing 10 of 137 inamaana inaandaa mafile yote ya android os ili iweze rejea kama kawaida , hivyo unapaswa subiri mpaka ifike 137....ila mara nyingi hii hutokea baadaya ku upgrade android version au baada ya kufactory reset simu yako...ila kama ilijizima tu yenyewe subiri ijimalize kuload na kisha toa mrejesho kwamba waweza itumia au inajizima tena... kwasababu yawezekana os imejicorrupt , si unajua tecno android operating system yake haiko stable ?
 
Simu yangu ni Tecno J8(boom) inazima na ikizima inaniandikia HIOS IS STARTING na pia inaandika optimizing 10 of 137 kwa anae jua naomba msaada wadau.
Kama ilizima baada ya kuishiwa chaji kabisa, na ukaichaji ikawa na asilimia 1% tu ukakimbilia kuiwasha, waga sina chelewa kuwaka hata nusu saa uku inafanya ivo "android is upgrading" haka ka ugonjwa common kapo pia kwenye simu za tecno L5,,,, So kama ulkua unaichaji iyo boom J8 unatakiwa uisubili walau ifikishe hata 10%,,,, kingine utakua umejaza sana apps ww kweli tecno kama inavojulikana ni simu dhaifu ani unaijazia Apps 137...!?,
 
Back
Top Bottom