Mwenye ujuzi na settings za receiver ya 'humax'

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana JF

Mini natumia dish la ft 8 yale meusi ya wavu na receiver nayotumia ni HUMAX. Sasa mtoto kachezea remote na settings zimevurugika kabisa kwa sasa hakuna channel yeyote ninayoiona. Nikiwasha ina display message ya 'Now channel saved'. Kama kuna yeyote mwenye ujuzi anielekeze jinsi ya ku restore data anisaidie.

With thanks
 
pole sana mkuu,mi katika ufund wangu cjawah kukutana na aina hyo ya receiver,kwan we wakaa wap?maana kukuelekeza kama ni mgen na hivyo v2 ni kaz sana,au una uelewa kidogo kuhusu hayo mambo mkuu?
 
Back
Top Bottom