Nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume, nifanyeje?

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
382
258
Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili?

Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao naamini wapo wana sayansi na waliofanikisha kwenye issue kama hii.So,kama una idea yoyote kuwa huru, changia japo point moja then wengine wakichangia tunaweza kupata good idea ambayo itanisaidia Mimi na wengine ambao wana ndoto kama yangu.

Haina haja ya kuogopa au kutoa matusi badala ya kuchangia maada iliyopo hewani.Pia kama huna cha kuchangia kaa pembeni by the way ni vema kukaa kimya kuliko ku discourage mtu.
You are strongly welcome.
Discussion is online.
 
Unajua mzunguko wa mkeo?

Kama hujui basi hakikisha mnafanya tendo la ndoa siku ya 14 tangu atoke kwenye siku zake

hakikisha tendo hilo mnafanya asubuhi why? Mda wa asubuhi mwanaume anakua amepumzika vya kutosha ana nguvu so sperms zinakua strong so kuna probability kubwa kupata mtoto wa kiume.

Family history hii nayo uchangia. Kama kwenu kuna wanaume wengi au kwa huyo mkeo kwao kuna wanaume wengi kuna uwezekano.

Lastly watoto wote utoka kwa mungu, mwambie mungu hitaji lakooo.
 
Unajua mzunguko wa mkeo?

Kama hujui basi hakikisha mnafanya tendo la ndoa siku ya 14 tangu atoke kwenye siku zake

hakikisha tendo hilo kinafanya asubuhi why? Mda wa asubuhi mwanaume anakua amepumzika vya kutosha ana nguvu so sperms zinakua strong so kuna probability kubwa kupata mtoto wa kiume.

Family history hii nayo uchangia. Kama kwenu kuna wanaume wengi au kwa huyo mkeo kwao kuna wanaume wengi kuna uwezekano.

Lastly watoto wote utoka kwa mungu, mwambie mungu hitaji lakooo.
Wazo zuri.
 
Uongozi wa jf unapaswa kuliangalia hili la kila thredi lazima iwe na angalizo kwa wale wanaotoa matusi. Mbona zamani miaka ya 2007 hakukua na maangalizo? au kuna watoto humu siku izi?
 
Utani na masihara vimekuwa vingi siku hizi
 
Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili?

Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao naamini wapo wana sayansi na waliofanikisha kwenye issue kama hii.So,kama una idea yoyote kuwa huru, changia japo point moja then wengine wakichangia tunaweza kupata good idea ambayo itanisaidia Mimi na wengine ambao wana ndoto kama yangu.

Haina haja ya kuogopa au kutoa matusi badala ya kuchangia maada iliyopo hewani.Pia kama huna cha kuchangia kaa pembeni by the way ni vema kukaa kimya kuliko ku discourage mtu.
You are strongly welcome.
Discussion is online.
Stop dreaming na Umuueleze mungu shida yako kupitia maombi!Hakika utafanikiwa.
 
Owa kwanza ndo tukwambie nini cha kufanya. Usije mfanya dada wa watu single mother bure alafu baadae uanze kusema oohh sipendi single mothers bla bla kibaooo
 
Kwa taaluma ya utabibu Medical profession kuna njia za aina tofauti tofauti ambazo wazazi wawili wanaweza kuzitumia ili kupata mtoto wa kiume au wa kike.
Baada ya uchunguzi wa uhakika uliofanywa na wataalamu wa afya ya uzazi na mtoto ni kwamba, sasa wazazi wanauwezo wa kuchagua kuzaa mtoto wa jinsia waitakayo kwa takribani asilimia 80 kwa kutumia kalenda.
Ili wazazi waweze kupata mtoto wa jinsia waitakayo ni lazima kuzingatia mambo muhimu kabla ya kutafuta mtoto wa jinsia waitakayo (kike /kiume).
Baada ya tafiti za kitabibu Medical researches kufanyika imethibitisha kuwa njia ya upandikizaji wa mbegu ndio njia ya uhakika zaidi ukilinganisha na njia ya kalenda Menstrual calenda
Njia ya kutumia kalenda ni njia ambayo ina mafanikio katika kufanikisha kupata mtoto wa jinsia ya kike au ya kiume kwa kuzingatia hali kamilifu ya afya kwa wazazi wote wawili pamaoja na mazingatio ya muda husika wa kushiriki tendo la ndoa kwa nia ya kupata jinsia ya mtoto husika.
Mpendwa rafiki, kumbuka ya kuwa mwanaume huzalisha mbegu “XY” , ‘X’ ya kike na ‘Y’ ya kiume lakini mwanamke huzalisha mbegu *“XX”* yenye sifa ya uke pekee.
Mbegu *‘X’* ya mwanaume ikikutana na mbegu ya mwanamke *‘X’* hapo ni lazima mtoto atakaetungwa ni wa kike hata hivyo, mbegu *‘Y’* ya mwanaume ikikutana na mbegu *‘X’* ya mwanamke hapo ni lazima mtoto atakaetungwa awe wa kiume.
Mbegu *‘Y’* huwa si imara sana lakini mwendo kasi wake ni wa haraka sana ukilinganisha na mbegu *‘X’*, hivyo hazikudumu kwa muda mrefu na huweza kufa kirahisi.
Mbegu *‘X’* ni imara lakini mwendo wake ni taratibu sana wakati mbegu *‘Y’* ni dhaifu lakini mwendo kasi wake ni haraka sana.
Kwa mwenendo na sifa hizo, wazazi hawanabudi kwenda sambamba na kalenda ya hedhi ili kufanikisha kupata jinsia ya mtoto wamtakae.
Ni muhimu sana mwanamke kuzingatia mwenendo wa mzunguko wake wa hedhi ni wa aina gani, kwa maana ya kwamba wastani wa mzunguko wa hedhi ni siku *28* hivyo yai lake hutoka siku ya *14*. Kuna mzunguko mfupi wa siku *21* ambao yai lake hutoka siku ya *10*. Na wale wanawake wenye mzunguko mkubwa wa siku *36*, yai hutoka siku ya *18.*

NB: Kawaida yai hutoka katikati ya mzunguko wa hedhi ukilinganisha na mzunguko wa mwanamke husika.
Baada ya kutambua mzunguko wa hedhi pia wanatakiwa kufahamu sifa ya mbegu *‘X’* na mbegu *‘Y’*, kama tulivyokwisha kueleza hapo juu.

Je, ni siku zipi wazazi wanapaswa kushiriki tendo la ndoa ili kupata jinsia ya mtoto husika?
Baada ya wazazi wawili kufahamu sifa za mbegu za uzazi yaani mbegu X na Y kama tulivyokwisha elezea katika sehemu ya kwanza. Vile vile wanapaswa kuelewa ni siku gani hasa ya kushiriki tendo la ndoa ili kupata jinsia ya mtoto wamtakae.
Wazazi (wahusika) wanapaswi kushiriki tendo la ndoa siku mbili au tatu karibu na ya yai la mama la uzazi kutoka, hapo kutakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kutungwa kwa mtoto wa kiume kwa vile mbegu Y husafiri kwa kasi zaidi hivyo ndio itakayotangulia kwa maana hiyo ile mbegu X itakuwa imeachwa na kasi ya mbegu Y kutokana na kasi yake ndogo.

Kwa sababu hiyo wazazi wanaohitaji mtoto wa kiume wanatakiwa kushiriki tendo la ndoa siku mbili au tatu kabla ya yai la mama kutoka.

Pia ikiwa wazazi watahitaji kupata mtoto wa kike watatakiwa kushiriki tendo la ndoa siku nyingi kabla ya kutolewa kwa yai la mama, kati ya siku ya 9, 10, 11 kabla ya siku inayotarajiwa kutoka kwa yai la mama.
Hilo ni muhimu kuzingatia kutokana na tabia ya mbegu X mwendo wake kuwa wa taratibu hivyo itaweza kudumu kwa siku hizo nyingi, huku mbegu Y itawahi kuharibiwa kutokana na kutangulia kwake kwa kasi hali ya kuwa si imara
Mkuu kumbuka ya kuwa hii kanuni si ya kudumu kutokana na mwili wa binadamu hubadilika mara kwa mara hivyo inapaswa kuzingatia mzunguko wa hedhi kwa umakini zaidi, hii ni kutokanana matokeo ya kitafiti.
Jambo kubwa la kuzingatia ni kujua siku sahihi ambayo yai la mama linatoka ili mbegu X na Y zikutane na yai la mama na kufanikisha utungwaji wa mimba. Endapo wazazi watakuwa na ndoto za kuwa na mtoto jinsia tofauti ni vyema wakafuata utaratibu huo ambao haugharimu chochote. Cha kuzingatia ni mzunguko wa mwanamke ni wa aina gani. Eidha mzunguko mrefu, wa kawaida au mfupi.

Na hapo ndipo huwashinda wanawake wengi na kupelekea kupata matokeo tofauti kabisa na walivyo tarajia, unakuta mzunguko wa mwanamke ni siku 28 lakini kumbe yeye anatumia kanuni ya mzunguko mfupi ambao ni siku 21.

NB: Ni muhimu sana siku za kushiriki tendo la ndoa kulinga na tabia za mbegu X na Y.
Takwimu zinaonesha kati ya watu 10 wanaotumia kanuni hii, watu 8 hufanikisha kupata jinsia ya mtoto wamtakae.
 
Watu wa aina yako siku hizi humu jamiiforum ni wachache sana, Hongera sana kwa maelezo sahihi ya kina, tunahitaji watu wa aina yako huku Kwny mitandao kwa ajili ya elimu huru na si mizaha mizaha, hivi ndivyo wenzetu wazungu walipofikia.
 
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom