marco ludamila
Member
- Feb 3, 2017
- 11
- 1
Bei gani?Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji mafuta ya mawese kwa kiasi chochote anachotaka na sehemu yoyote alipo kwa matumizi yoyote Yale awasiliane namimi kwa namba yangu 0672495929
Sawa aisee Ni ushauli mzuri, lakini bei Ni katokana na kiwango unachokihitaji kadri unavyochukua kwa wingi na bei inapunguaungeweka picha ya unavyo pack. kama ni kwenye lita tano, moja, 20. nembo iwe mbele. bila kusahau bei. wengi watafanya maamuzi na kupiga sim.
Kwa dar es salaam 38000/= dumu la Lita 20Lita 20 bei gani
KigomaHayo mawese ni ya tanga au kigoma?
Unauza lita 20 peke yake au na ujazo mwingine? Weka bei ujazo woteKwa dar es salaam 38000/= dumu la Lita 20
Ila kama upo sehemu nyingine Ni maelewano kwa kunipigia simu
38000/= tunauza kwa dar na kama uko mkoani tutaelewanaLita 20 bei gani