Mwenye uhitaji wa betri zilizotumika kwenye minara ninazo

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,416
2,000
Mwenye uhitaji wa BETRI ZILIZOTUMIKA KWENYE MINARA ninazo.
Usafiri kwa kahama, Singida,Dodoma, morogoro, Mwanza, geita bure mpaka inakufikia no utapeli ushahidi upo kwa wateja wote waliozipata.

BETRI ni 160N/ah
BEI 330,000.

0629945110.
Bukoba.ULIZA WANAOZJUA HUNA HAJA YA KULALA GIZA UMEME UKIKATIKA AU KAMA HUKO ULIPOJENGA UMEME HAUJAFIKA HIZI BETRI NI HEAVY DUTY TOFAUTI KABISA NA HAYO YALIYOKO HUKO MADUKANI. KARIBUNI SANA WAKUU.

kwa walioko jirani na nilipo nakuja kukufungia bure kabisa mfumo wa sola ni wewe kunipa nauli tu ya kuja na kurudi.....
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,416
2,000
Ingien kingi mtume nauli ya kwenda na kurudia na ela ya betri
Aisee 🤔🤔🤔🤔 niliwahi kukutapeli nn mkuu. Si kila mtu ana njaa za kutapeli mpk laki tatu Nina namba za wateja niliowatumia BETRI wengne wako dar naweza mpa mtu amawasiliana nao na akaenda KUCHECK betri kama wanazo na kama wananifahamu. Si kila mtu humu ni tapeli kama ambavyo wewe unatapeli pesa ndogo huko mitandaoni sina njaa ya kutapeli laki tatu ambaye haamini aje asafiri mpka nilipo aje achukue. Pia mkuu jifunze kukaa kimya hiki unachokifanya ni kunihukumu kwa kitu ambacho huna uhakika nacho aisee so sad 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
UVIKO

JF-Expert Member
Jun 14, 2021
271
500
Mwenye uhitaji wa BETRI ZILIZOTUMIKA KWENYE MINARA ninazo.
Usafiri kwa kahama, Singida,Dodoma, morogoro, Mwanza, geita bure mpaka inakufikia no utapeli ushahidi upo kwa wateja wote waliozipata.

BETRI ni 160N/ah
BEI 330,000.

0629945110.
Bukoba.ULIZA WANAOZJUA HUNA HAJA YA KULALA GIZA UMEME UKIKATIKA AU KAMA HUKO ULIPOJENGA UMEME HAUJAFIKA HIZI BETRI NI HEAVY DUTY TOFAUTI KABISA NA HAYO YALIYOKO HUKO MADUKANI. KARIBUNI SANA WAKUU.

kwa walioko jirani na nilipo nakuja kukufungia bure kabisa mfumo wa sola ni wewe kunipa nauli tu ya kuja na kurudi..... View attachment 2024344
Hizo betri za minara kama sikosei ni madili Ila siyo rasimi ... Kama utanikosoa nitakupa hoja za msingi
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,416
2,000
Hizo betri za minara kama sikosei ni madili Ila siyo rasimi ... Kama utanikosoa nitakupa hoja za msingi
Huna cha kunifundisha kuhusu haya madude kwahiyo kaa kwa kutulia na sjaweka biashara ya kutaka kuchambua nachouza nenda kaichambue familia yako utoe hoja za msingi huko wabongo bhana daaah tuna roho mbaya Sana watu tunapambana kutafuta ridhiki na maisha wengine hawakujui wala hawakufahamu wanapambana kukwamisha khaaaaa
 
UVIKO

JF-Expert Member
Jun 14, 2021
271
500
Huna cha kunifundisha kuhusu haya madude kwahiyo kaa kwa kutulia na sjaweka biashara ya kutaka kuchambua nachouza nenda kaichambue familia yako utoe hoja za msingi huko wabongo bhana daaah tuna roho mbaya Sana watu tunapambana kutafuta ridhiki na maisha wengine hawakujui wala hawakufahamu wanapambana kukwamisha khaaaaa
Pole mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom