Mwenye ufahamu wa ndoto tafadhali

George Tesha1

Senior Member
Dec 29, 2011
116
63
Wakuu usiku wa kuamkia leo nimekuwa nikiota ndoto nyingi lakini iliyonishtua ni ndoto inayohusiana na nyoka na tandu nimeogopa sana , wenye ufahamu wa ndoto za aina hii ningefurahi kama ningepata utabiri wake au hizi ni ndoto zinazohusu nini
 
wameingia ndani ni wakubwa sana nikawa nakimbia nje moja akaning'ata mguuni ndio nikashtuka
Kwa vile wameingia ndani na ukawaona ukakimbia mshukuru Mungu!
Kuna mambo mabaya yanakunyemelea ... njia njema ya kukwepana nayo ni kuomba sana. Kama kweli unajua kuomba - omba na kama hujui nenda kwa wanamaombi wakuombee. Mimi nitakuombea kwa sababu ninaamini katika maombi hakuna linaloshindikana.
 
Cc: mshana Jr
 
nashukuru sana mkuu kwa hilo
 
kutokana na ndoto zangu kuwa za kweli, nikiota jambo linakuwa, binafsi sitaki hata kuota, majuzi kati nimeota na kweli imetokea imeniumiza sana
 
Ukiota nyoka maana yake umekutana na shetani live si unakumbuka Adam na hawa pale Eden, akikutokea tena muombe hela itakuwa wanakutaka Freemason usichezee Bahati.
 
hizi ndoto nazo zina visa,siku nyingine ukiona choo ndotoni usikitumie kwa mujibu wa utabiri wangu
 
wameingia ndani ni wakubwa sana nikawa nakimbia nje moja akaning'ata mguuni ndio nikashtuka
Nyoka ni ishara ya hekima (wisdom ) amekungata amekuwachia hekima . ...usijali ni ndoto nzuri sana . ..Pata amani na uisikilize sauti ya ndani yako tu..utapata mafanikio makubwa . ...lakini achana na maisha ya uchafu maana havijichanganyi hivi vitu . ...barikiwa
 
Kwanza hapo kwenye bold ... fafanua
Kwenye kuota hakunaga utashi
niliwahi kuambiwa na mzee mmoja ningali mdogo kuwa nina kitu kikubwa sna na nitafanya makubwa ktk dunia, akaongeza akasema nitakuwa kiongozi wa familia japo ni mdogo kuliko wenzangu na kweli kiasi fulan maneno yake yametimia
mambo mengi ya kifamilia kabla hayajatokea huwa lazima niote baada ya muda inatokea, watu wanaonizunguka km tumeshibana kiurafiki ikiwa kuna jambo litamtokea huwa naona katika ndoto, nilishazoea nakuona kawaida
juzi kati nimeona katika ndoto niko mtu mmoja rafiki yangu sana sana sana, ananikimbia, nilipoamka nilichukulia poa km ndoto za kawaida tu, baada ya siku 2 imekuwa kweli na leo juma moja, hakuna usalama wala mwelekeo, hii iimeniumiza sana na imenipelekea kuchukia ndoto japo lazima nitaota tu
 
Unaabudu kwenye dini gani?
 
Wewe utakua ulitizama "movie" inayohusu hivyo viumbe ndio maana umeviota usingizini,

Hakuna maana yeyote hapo ni ndoto tu hizo ambazo ni "reflection" za mambo uliyoyaona au uliyoyawaza kabla ya kulala.
 
Kuna wataalamu WA ndoto wako channel ten , fuatilia tu chukua namba zao. Tena wako wengi Kila siku wanatokea wengine.
 
Back
Top Bottom