Mwenye ufahamu na chua cha Ualimu wa ufundi-Kleruu Iringa

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
236
175
Heshima kwenu wakuu,

Nina mdogo wangu amechaguliwa kusomea ualimu wa masomo ya ufundi chuo cha Kleruu Iringa, naomba kama kuna Mtu anakijua chuo hiki au alishawahi kupita pale au ana uzoefu na 'Ualimu wa masomo ya ufundi' anifungue niweze kufahamu ikiwa ni pamoja na kujua kozi gani zinatolewa na ipi iko na soko, Pia kufahamu maisha ya pale chuoni, changamoto, Tahadhari za kuchukua akiwa mwanachuo pale, n.k

Pia kwa Kuwa nchi sasa inaelekea kwenye uchumi wa viwanda naomba ushauri wa kozi gani asome.

Ndimi Kijana wenu.
 
Mwambie ajilinde na UKIMWI tu, akiingia kichwa kichwa Iringa anakwenda na Maji
 
Heshima kwenu wakuu,

Nina mdogo wangu amechaguliwa kusomea ualimu wa masomo ya ufundi chuo cha Kleruu Iringa, naomba kama kuna Mtu anakijua chuo hiki au alishawahi kupita pale au ana uzoefu na 'Ualimu wa masomo ya ufundi' anifungue niweze kufahamu ikiwa ni pamoja na kujua kozi gani zinatolewa na ipi iko na soko, Pia kufahamu maisha ya pale chuoni, changamoto, Tahadhari za kuchukua akiwa mwanachuo pale, n.k

Pia kwa Kuwa nchi sasa inaelekea kwenye uchumi wa viwanda naomba ushauri wa kozi gani asome.

Ndimi Kijana wenu.
Mkuu kama kachaguliwa
Mwambie tu akasome kwa bidii
Walimu wanaohitimu pale serikali inawapangia katika shule za technical kama ifunda tech,iyunga,tanga tech n.k
Kwa walimu wanaochukua michepuo ya ufundi

Kuhusu kozi zinazotolewa chuoni hill ataenda kujua chuoni maana pale wote walimu watarajiwa
Na kuhusu Soko hill siyo la kuwaza maana kozi zote pale chuoni zina soko cha msingi apambane asije kuleta ubishoo maana kuna kufeli

Kleruu ni chuo kinachotoa walimu wa masomo ya sayansi tu wakiwemo hao wa masomo ya ufundi kwa hiyo wanauzika vizuri sana

Kuhusu mazingira ya chuo hili jambo lisikuogopeshe madam amechaguliwa ataenda kujionea mwenyewe hapa jamii forum hutapata jibu sahihi maana kila MTU atasema lake

Kwa kifupi chuo kiko mjini Barbara ya dodoma,ni chuo maarufu maana pana sekondari hapo hapo inaitwa kleruu kwa hiyo siyo pakupotea
Kuhusu maisha ya chuo sidhani kama yatakuwa tofauti sana na while au vyuo vingine.cha msingi akapambane miaka 2 siyo mingi
Sina taarifa zaidi kuhusu maisha ya pale maana sikusoma pale zaidi ya kupita na kupaona maana chuo cha zamani sana.

Kila lakheri mkuu mwalimu mtarajiwa
 
Nashukuru sana mkuu sana yan.
 
Back
Top Bottom