Mwenye ufahamu kuhusu kufunguliwa kwa uhamisho kwa waalimu.

Coffee

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,290
1,277
Wakuu naomba kufahamishwa kama kweli uhamisho kwa waalimu umefunguliwa maana kuna mtu anasema eti toka hii June mosi 2019 wameruhusu mauhamisho ni ya kweli haya?
 
Tamisemi walikanusha kwamba ile Tangazo linalosambaa ni la uongo uhamisho bado haujafunguliwa
 
Bado subiri kama kufunga walitoa taarifa subiri wakifungua watatoa taarifa kwa umma, ambao upo ni uhamisho wa dharura tu
 
Kuna barua nilikuta mahala kwenye mbao za matangazo kama nitaweza kuiambatanisha nitaiweka ili tusaidiane kujua kama ina ukweli au barua yenyewe hiyo hapo,
IMG_20190626_154554.jpeg
 
Back
Top Bottom