Mwenye ufahamu juu ya agape umwema sanctuary ltd shilika linalolipa mshahara mkubwa kupindukia

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
114
60
Habari wadau,
Kumekuwa na matangazo ya kazi katika taasisi hii ya kidini ambayo makao makuu yake yapo Arusha.

Hawa mabwana wamekuwa wakibeba watu toka sehemu mbalimbali toka mikoa ya tz na kupelekwa jijini Arusha lakini wanapofika pale hakuna la maana linalofanyika.

Maana pamejaa ujanjaujanja, sasa Kama kuna mtu anawafahamu vizuri hawa watu anijuze maana wamekuwa wakichangisha watu hela kwa ajili ya hzo kongamano
 
Unatuhamasisha na sisi tukaombe kazi gani humo?? Jamani, mkiomba kazi mahali kama mkikosa acheni kuwachafua hao watu. Tuambie uliona nini na kivipi si bla bla
 
Back
Top Bottom