Mwenye ufafanuzi wa hizi picha za Da Vinci

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Tunaomba ufafanuzi na maelezo
study%20-genga-2.jpeg
mandela-jesus-and-the-da-vinci-code-1-638(0).jpeg
Whats%20Wrong%20With%20This%20Picture.jpeg
Last-Supper-Da-Vinci-1495%20milanostyle%20com.jpeg
 

Attachments

  • mandela-jesus-and-the-da-vinci-code-1-638.jpeg
    mandela-jesus-and-the-da-vinci-code-1-638.jpeg
    57.9 KB · Views: 3
Kwenye kutafuta majibu Kama hayo inabidi kutafuta kwanza nyakati za mtu husika I mean huyo da Vinci au muda wa picha husika,Kuna maisha ya mchoraji kwani codes nyengine mtu huziweka kutokana na maisha aliyopitia mhusika aidha kitu anachokipenda au kinachomtatiza.. ama tunaweza angalia imani ya mchoraji au uongozi husika kipindi mchoraji yupo ktk enzi hizo,so anaweza toa codes zinazohusika na hayo n.k mambo ni mengi na isitoshe picha husika ni ya kitambo hivyo mengi itakuwa ni udhani na ndio maana hata ile picha yake nyengine (mchoro wa monalisa) bado Kuna codes hawajazitambua! Lkn Kuna codes ambazo zinaelezea jina lake ktk jicho moja la ule mchoro.. kutafsiri haya mamichoro Kuna involve mambo mengi sana haswa jibu itakuwa jepesi zaidi ikiwa ikifahamika mitazamo ya mhusika,imani,maisha,reasons na tuvitu Fulani fulani!

Alasivyo hapa tutaganga njaa kupata majibu wengine watahusisha na maisha ya yesu Kuwa alikuwa na kimwana kwasababu ya huyo kimwana na wakati ktk hafla hiyo yesu alikuwa na wanafunzi wake 12 tu! Sasa kujua maana na huyo kuwepo hapo itabidi kuelewa misimamo ya mchoraji n.k vitu ni vingi! Na ku crack hizo codes mpk kujua hili ndo jibu ....😅😅
 
hizo picha hazina code yoyote hasa hiyo ya kwanza aliyeweka huo mchoro anataka kumlisha maneno mchoraji tu, hakuna kitu hapo wanataka kuanza kuongelea mambo ya secret society
 
Back
Top Bottom