mwenye uelewa zaidi tafadhali

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Wanajukwaa na swali.

Jana wakati mbunge wa arusha mjini akiwa anachangia hoja, spika alikuwa anamkatisha mara kwa mara. Nimejiuliza sana je! Hairuhusiwi kumtaja mtu kwa jina iwapo anachochea vurugu? Maana alikuwa anamtaja mbunge wa arumeru kuwa ni mpandikizaji wa ukabila ambayo madhara yake yanaweza kutokea kama tipoti ya jana ilivyokuwa. Je! Bunge lilishatoa msimamo gani kuhusu huyu waziri au ukishakuwa kiongozi wa ccm huruhusiwi kutajwa kwenye uvunjifu wa amani ya nchi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom