Mwenye uelewa wa ku disable call transfer.

kanabyule

JF-Expert Member
Dec 5, 2016
386
279
Nakuja kwenu Wadau mnisaidie ku disable call transfer kutoka simu yangu kwenda simu ingine.

Nimegundua uwepo wa tatizo hili katika simu yangu siku ya Jtatu pale ambapo mke wangu alipiga simu nikachelewa kuipokea na kisha kunyamaza kumbe wakati huo simu alipokea mtu mwingine upande wa pili.

Hata nilipoenda kutatuliwa tatizo hili pale Morocco makao makuu ya Airtel shida hii bado ipo na inanikera hasa baada ya kuligundua.

Msaada unakitajika Wadau.
 
Mkuu kama ulienda Morocco kutatuliwa na bado tatizo lipo, basi jaribu mwananyamala kwa kopa pale kuna wajanja kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom