1.Unajiregist Kwanza
2.Baada ya hapo unaanza kutumia huduma
Faida yake.
1.Wako faster Sana Kama unawahitaji sehemu yoyote na gharama zao Ni makubariano
Hasara
1.Kuna gharama za waiting charges.
Note.
Mimi natumia Sana hii huduma nimeondoka na malingo ya Tax za vijiweni Sasa maana yoyote ambaye Yuko online anakuja kukufuata
Sent using Jamii Forums mobile app