unajiungaje tafadhali.Wenzako tunajipigia mahela kwasasa na kupiga simu bure nje na ndani ya nchi kwa dola 5 tu kwa mwezi mzima.
karibu telexfree ulimwengu wa online Makerting.. watu hatuingii kuwajazia trafic online bure wenzetu kisha wao kupata matangazo na kulipwa.telexfree inatulipa kiukweli kabisa.
how does it operate?Wenzako tunajipigia mahela kwasasa na kupiga simu bure nje na ndani ya nchi kwa dola 5 tu kwa mwezi mzima.
karibu telexfree ulimwengu wa online Makerting.. watu hatuingii kuwajazia trafic online bure wenzetu kisha wao kupata matangazo na kulipwa.telexfree inatulipa kiukweli kabisa.
Naskia telexfree...imezngua.nw....imefungiwa....bt aint sure..cz nlikuw nafany uyafit wa hyo ktu na hayo ndo majib nliyo pata.rememb aint sure
Naskia telexfree...imezngua.nw....imefungiwa....bt aint sure..cz nlikuw nafany uyafit wa hyo ktu na hayo ndo majib nliyo pata.rememb aint sure
andka vzur,hii sio xehem ya wavuta bange kima wee.1
jaman naomba kujuzwa kuhusu hawa jamaa wanaitwa telexfree how do they operate and are they real...au ndo mambo ya deci...naomba kuwasilisha
Jifunze kuandika vizuri tafadhali
andka vzur,hii sio xehem ya wavuta bange KIMA WEE.1
Hii ni pyramid scheme kama Upatu, wanatumia hela za wanaojiunga now kuwalipa wale waliojiunga mwanzo. Eventually lazima itacollapse. JIHADHARI!!!