Mwenye uelewa na biashara ndizi kutoka moshi naomba anipatie mbivu na mbichi zake

banos

Member
Oct 9, 2013
32
13
Wadau nahitaji msaada wa hali na mali kujua namna hii biashara inavyofanyika katika soko la mabibo .ili nami nipate kujua namna ya kutupa karata yangu kwenye hilo game
 
Aisee! Hiyo biashara ina faida sana,nimewahi fanya miaka ya nyuma...Ukitaka faida zaidi ufuate mzigo mwenyewe moshi ila uwe unajua aina za ndizi na mara nyingi wanauza kwa malikauli.
 
Kuna bwana alipewa mafao yake hela yote akanunulia ndizi kuketa dar kufika njiano fuso likaharibika mpk wanafika dar siku ya 2 yake ndizi zote zimeiva dah
 
Back
Top Bottom