Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya

BOENG 777X

Member
Aug 9, 2020
11
3
Habari za uzima wapendwa,

Naomba kuuliza kwa Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya anijulishe ubora wake kama kipo vizuri kwenye kozi ya IT yani information technology

Nitashukuru kupata majibu.
 
We nenda kasome uhitimu. Mambo ua ufanisi juhudi binafsi. Umeshawahi kuona mtu hawezi kazi ila kapewa ajira kutokana na jina la chuo?

Kama kimesajiliwa na serikali na kinatambulika, inatosha.
 
We nenda kasome uhitimu. Mambo ua ufanisi juhudi binafsi. Umeshawahi kuona mtu hawezi kazi ila kapewa ajira kutokana na jina la chuo?

Kama kimesajiliwa na serikali na kinatambulika, inatosha.
Nashukuru kwa mchango wako
 
Nenda kasome ndugu, suala la IT ni juhudi zako tuu pale kuna kila facility kukufanya uwe exellent.practice matters
 
Ni chuo kizuri sana sema kilikuwa kinakandamizwa na mifumo ya juu ila ni kizuri sana, na miaka ya nyuma kilikuwa kinatoa walimu wazuri sana japo kwa sasa sijui. Na pia ndicho Main Campus kwa vyuo vyote vya TEKU vya Dar esalaam na Tabora
 
Back
Top Bottom