EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.