Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,893
2,000
Eid al adha mubarak wana JF

Jamani mwenye ubuyu kamili wa menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe

Nasikia bi dada ni mgonjwa na hakumtaarifu mwenzie... mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku menina akiwa location🥱
View attachment 1862297
Tangu Mwijaku afumue buti lake sitaki kumwona huyu mtoto.
amefumuliwa buti na bado watu wanamkodish as MC
 

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,893
2,000
Eid al adha mubarak wana JF

Jamani mwenye ubuyu kamili wa menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe

Nasikia bi dada ni mgonjwa na hakumtaarifu mwenzie... mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku menina akiwa location🥱
View attachment 1862297
ubuyu hauna ukweli, Menina anapakuliwa viwanja vya sinza na Mwijaku , na mara nyingi yupo mori pale Big fashion.
 

wehoodie

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,002
2,000
dawa za kufubaza makali zimefanya tatizo la HIV lisahaulike kabisa, ukweli ni kuwa vijana wengi haswa hawa maarufu wapo kwenye grid ya umeme. Sasa sijui wanaziogopa dawa za kufubaza wakati wenzao wanaotumia wanapendeza na kunawiri haswa.
Kuna haja ya kampeni za HIV kurudishwa wengi hasa vijana wa kuanzia 15 years hawaelewi hata ngoma ni nini.hawajakutana na zile kampeni za uelimishaji.
Hawa ma 'celebrity" wenye mafaili yao wanasema wengi wanao uzuri wanatumia dawa wako vizuri wanazidi kupendeza sasa wakikutana na asiejua anaingia kichwa kichwa anapata na hatumii dawa matokeo ndio hayo.

Screenshot_20210725-122647_Chrome.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom