44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
 
Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Utaozea mtaani mkuu, usikate tamaa we omba tuu
Kama una muda fanya hvy
 
Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Hizo kaka zknakukaga watu wanasombwa kimya kimya neno utumishi lielewe ndani
 
Hao mchakato wao wa ajira ni rushwa tupu na kujuana yaani chombo cha mahaakama alafu wanapokea rushwa katika mchakato
 
Nimepata taarifa kuwa Mahamaka imetoa nafasi za kazi wiki hii mwenye link tafadhali tu saidia.
 
Hivi hata nafasi za Ulinzi Jamaa wanataka rushwa kwenye mchakato?
 
Hivi wanaposema maombi yapitie kwa Karibu Tawala wa Wilaya ndio inakuaje...je nikupeleka tu barua yako then huyo muhusika anaigonga Kama nimuhuri au inakuaje??msaada wenu Tafadhali wakuu!
 
Hawa jamaa wanakatisha tamaa vijana. Yaani wanatuma maombi ni vijana wengi mamia kwa mamia mwisho wa siku wana shortlist watu watano kwenda kwenye interview.

Imefikia kipindi taasisi na mashirika ya umma yatoe haki sawa kwa watanzania watanzania wote. Ita vijana wote wenye vigezo uwachuje sio una shortlist kwa ubaguzi.

Vijana wanavunjika moyo sana kwa kunyimwa hata fursa ya kuitwa tu kwenye usaili. Mamlaka zinazohusika na usaili wa utumishi wa mahakama tafadhari tafakarini hili.

Binafsi naumia sana napomuona kijana mwenzangu anahangaika kutafuta ajira na hata usaili tu ananyimwa.

Fanyeni kama wanavyofanya utumishi.
 
Hao mchakato wao wa ajira ni rushwa tupu na kujuana yaani chombo cha mahaakama alafu wanapokea rushwa katika mchakato
Kujuana ni kwingi huko upo sahihi. Rushwa sina uhakika.

Sitoacha kupaza sauti kukemea hili kama kijana kwa ajili ya vijana wenzangu.

Waweke mazingira sawa kwa kila mtanzania. Wote wana haki ya kuajiriwa kwenye taasisi na mashirika ya umma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom