Mwenye taarifa za Interview Workers Comensation Fund

e nkwasi

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
381
283
Habari wanajamvi, nilikua nauliza mwenye taarifa za Interview Workers Compensation Fund (WCF). Walitangaza kazi last yr Dec 2016. Kuna mwenye taarifa on any progress
 
Duh, ila mbona walitangaza. Nafikiri kwa hiyo hoja yako nilivyo elewa ilibidi wasitangaze.
 
Back
Top Bottom