Mwenye taarifa za biashara ya Gym.

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
how-much-joining-gym-helps-health-2.jpg.jpeg

Msaada wa biashara ya Gym (Body Fitness), ili uweze kufungua gym bora ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji wa sh. ngapi.
Nimeona fursa hii kuna sehemu watu wana huitaji wa gym yenye vifaa vya kisasa.
So kabla sijaanza mpango wa kufungua atleast unatakiwa uwe na pesa kiasi gani.
Nakaribisha michango yenu, Karibuni sana
 
Kama unanyumba au sehemu ya kuwekea vifaaa vya mazoezi ,Andaa million kumi uagize vifaa tuko majuu,Vya hapa bongo wanauza bei kubwa sana,utapiga hela sana,Alafu unakuwa unaongezea na vingine ,(unaiboresha sasa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unaanzisha wapi na vifaa unanunua wapi.

Watu wengi walikua wananunua vifaa vya gym gerezani ila kule Gerezani wamejanjaruka.

Mimi nashauri katika gym yako hakikisha hivi vitu vifuatavyo havikosi, vikiwepo kila mtu akija gym yako ataridhika.

-Flat Bench yawe matatu moja utatengenezewa kwa 80,000 - 100,000.

-Incline bench, matatu, bei ni kama hapo juu.

-Slope bench, matatu, bei ni kama ya flat bench.

-Iwepo mashine ya cable pulldown, fanya namna hii hii iwe inaweza kupigiwa Triceps (tengeneza na bars zake). Hii mashine itatengenezwa kwa 150,000 - 200,000 pamoja na bars zake.

-Iwepo mashine ya kufanya pulldown. Kama Gym yako iko na eneo la kuning'inizia bar hii gharama itakua ndogo 20,000 ila kama utaitengeneza from scratch 70,000 hadi 90,000.
Kama itakua modified from scratch (kukawepo nguzo ya nondo) simamisha nondo nyingine pembeni utengeneze sehemu ya dips.

-Iwepo mashine ya leg press, hii mashine utatengenezewa kwa 180,000 - 250,000

-Mabenchi ya kukata tumbo manne, moja utatengenezewa 50,000 - 70,000.

-Rollers za kukata tumbo za kutosha, moja ni 8000 - 10000.

-Dumbbells za uzito tofauti. Unaweza anza za kilo 5 mpaka ya kilo 60. Hapa ni tricky kidogo maana Gerezani ya kilo 30 zamani walikua wanatengeneza kwa bei ya chini mwaka jana tuligomewa mtu akataka 80,000 kwa dumbbell moja.

-Plates za uzito mbali mbali. Hapa kuna za kupigia kifua, squat, sholder na mkono. Mfano unaweza ukaamua kua kwa plates za mkono utaanzia za uzito wa kilo 1 mpaka 10. Hivyo ziwe kilo 1, 2, 3 n.k.

Za kifua, sholder na squat zianzie kilo 10 mpaka 50. Kwa hiyo itakua kilo 10, 20, 30, 40 & 50.

-Bars ziwe nyingi, yaani iwezekane kwa watu wakawepo kwenye mabenchi, squats, sholder na kila mtu akawa na bar yake.
Bars za kupigia mkono ziwepo. Pia Z bar zisikose.

Gym yako ikiwa na hivyo nilivyovitaja kila atakayeingia lazima akamsimulie mwenzie.
 
Aya maelezo nimeyakopi nimeenda kuyakopi kwenye storage yangu one day yes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niamini kua unaandika kwa kujifurahisha na kupata likes
Bora kukimbia barabarani (kuliko kupanda gari/basi) toka kazini hadi nyumbani...mara 5/week =gym tosha. Hiyo pesa ya gym nitanunua LUKU nilipie na king'amuzi
 
Poor mind, ndipo ufahamu wako ulipoishia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu. Gym ni upotezaji wa pesa tu. Unakuta mtu anakwenda gym laki 5/month ila anapolala pachafu kama dampo.
Binafsi nimeamua kudamka saa 10 alfajiri kila siku na kufanya yafuatayo kabla ya kwenda kazini.
1. Kufua nguo,
2. Kukimbia kwa dakika 30;
3. Kufagia uwanja na kumwagilia bustani ya mboga & maua;
4.:kuosha gari.
Baada ya haya yote ndo nioge ninywe chai niwahi kibaruani.
** Yote hayo nayafanya kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 12 alfajiri ifikapo saa 12:30 asubuhi nipo kazini napiga kazi nikiwa fresh bila kulipia GYM
NB: ya nn kupoteza pesa wakati nyumbani kwako una shughuli za mikono za kukutoa jasho!
 
Gym ipo hadi ya ukilipa 5000 na kua memba haulipi tena unaenda kulipa laki tano yote ya nini?
 
Ndio mkuu. Gym ni upotezaji wa pesa tu. Unakuta mtu anakwenda gym laki 5/month ila anapolala pachafu kama dampo.
Binafsi nimeamua kudamka saa 10 alfajiri kila siku na kufanya yafuatayo kabla ya kwenda kazini.
1. Kufua nguo,
2. Kukimbia kwa dakika 30;
3. Kufagia uwanja na kumwagilia bustani ya mboga & maua;
4.:kuosha gari.
Baada ya haya yote ndo nioge ninywe chai niwahi kibaruani.
** Yote hayo nayafanya kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 12 alfajiri ifikapo saa 12:30 asubuhi nipo kazini napiga kazi nikiwa fresh bila kulipia GYM
NB: ya nn kupoteza pesa wakati nyumbani kwako una shughuli za mikono za kukutoa jasho!
Uoni kununua gari ni upotevu wa pesa ??

Nani alikwambia mazoezi ni kukimbia tu ??

Iweje uchanganye majukumu yako na mazoezi kufua, kumwaga maji, kufagia inahusiana vipi na mazoezi ??

Nani aliyelipia gym 500,000/= hali ya kuwa maisha yake magumu, tuyajie iyo gym ya 500,000/= na risiti za aliyelipia.

Vipi una-pretend kwamba kila mtu aishi kwa lifestyle yako wewe ??

Iweje ushangae spending ya mtu ya pesa kwenye gym pesa yako una spend wapi, na unafikili tunaishi kwa uchumi sawa ??

JE KUNUNUA GARI UWONI NI UPOTEVU WA PESA, je public transport azipo??

NB:usifikili mwisho wa keyboard yako ,ndio maana nikasema poor mind.

Nimepiga gym sana na gym ni sehemu yangu ya maisha napenda body inayoeleweka sio frem kama ya nguo, toka nipige gym sijaspend pesa hata Shs 10, wala sijaaribu muda wangu kilakitu kina nafasi yake kwenye maisha yangu hadi movie zina muda wake na ikifika muda wake husiniletee mambo ya kazi nk.

Fanya mazoezi hacha pretend unamajukumu kumshinda MO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom