GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 649
Msaada wa biashara ya Gym (Body Fitness), ili uweze kufungua gym bora ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji wa sh. ngapi.
Nimeona fursa hii kuna sehemu watu wana huitaji wa gym yenye vifaa vya kisasa.
So kabla sijaanza mpango wa kufungua atleast unatakiwa uwe na pesa kiasi gani.
Nakaribisha michango yenu, Karibuni sana