Mwenye taarifa kutoka mkombozi bank plc, plz!

omusimba

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
310
76
jamani naomba kupata taarifa ya zile nafasi za kazi zilizotangazwa hivi karibuni pale mkombozi bank. Natarajia ushirikiano.
 
walishafanya interview na wamesgachagua nina jamaa zangu wawili wamepata, hata mimi nilomba ila naona waliita watu wanaowahitaji tu. Jamaa yangu mmoja kapata nafasi ya auditing na mwingine meneja. Nadhani tusubiri bahati nyingine. Na hao jamaa zangu wote wameshatoa resignation notice hapa ofisini kwa ajili ya kujiunga huko.
 
duh! mungu yupo nasi, je? vipi na kuhusu AKIBA COMMERCIAL BANK,zile za mateller 11. kweli kupata kazi ni kazi
 
Back
Top Bottom