Mwenye taarifa kuhusu kucheleweshwa kwa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2015

Status
Not open for further replies.

dean of student

Senior Member
Jun 29, 2015
116
47
Mwaka Jana matokeo yalitoka tar 14 siku kama ya Leo.

Je kwa mwaka huu matokeo yatatoka lini? kwa mwenye taarifa zozote kuhusiana na mambo yanayoendelea uko naomba atuambie.
 
mwaka Jana matokeo yalitoka tar 14 siku kama ya Leo. je kwa mwaka huu matokeo yatatoka lini? kwa mwenye taarifa zozote kuhusiana na mambo yanayo endelea uko naomba atuambie.
Unapoweka uzi wako kama ni swali basi indicate the sign of question mark...
Unapoandika pasipo alama hizo , watu tunajuwa kuwa ni taarifa kijana.
Mwenyewe hapa kuna mtu kaniambia kuwa yametoka, hivyo nilivyoona post yako nikafikiri ni taarifa, kumbe na wewe unaulizia.... Daaaah... Haya bana kijana tusuburi labda.....
 
Huenda yangekuwa yametola kwa mtazamo wangu kilichopelekea yachelewe au kukuchelewshwa kwa sabab ya agizo la wazr wa elim aliye badili mfumo wa gpa kwenda point, na inasemekana kuwa mtokeo yalikwisha kamilika,

Kilichitokea ni kuyarudisha na kuanza kuyapanga upya kabisa..
 
Watu wizarani wanasoma kwanza upepo wa Magufuli usije shangaa tokeo likatoka mwezi wa kumi kuhofia kutumbuliwa
 
Matokeo Mwez Wa 3 Post Za Kidato Cha5 Mwez Wa 7 Shule Mwz Wa 10 Mkifika Cha 6 Mtiani Wenu Mwez Wa2 Mtakachokipata Mtajiju .Mvimbe Mpasuke Mmeichagua Wenye Achamuisome Namba Wao Mbele Kwa Mbele
 
vumilieni kidogo tu mambo yako tayari matokeo yaakua hewan kuanzia week inayoanza kesho
 
Akuna Wk Hii Wala Ya Kesho Kupanga Upya Inachukuwa Mwz1 Kama Unavyojua Mwaka Jana Kulikuwa Na Watahniwa Weng Mno Walivunja Lekodi
 
IMG-20160131-WA0008.jpg
vumilieni kidogo mambo yapo tayari tuombe mungu kuanzia hiyo week inayoanza yatatoka pia hata ufaulu upo vzr hata msiwe na pressure madogo source baraza la mtihani necta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom