mwenye ratiba za mikutano ya makamanda atujuze!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwenye ratiba za mikutano ya makamanda atujuze!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mashami, Jun 23, 2012.

 1. mashami

  mashami Senior Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi ninayo hii ya BAVICHA ARUSHA kesho tar.24/6 makamanda hawa watakua mto wa mbu kwa white hair kufungua matawi,kutoa somo la uraia pia kuwavua ukada kuwavalisha UKAMANDA
  Kama kuna mwenye ratiba zingine atupia hapa!
   
 2. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Leo Jumamosi tar 23/06/2012 kutakuwa na mkutano wa funga semester wa CHADEMA NA WANAVYUO VYOTE VYA DSM viwanja vya uzuri sinza.Dr lwaitama, Dr w.p.Slaa,dr kitila,T.Lissu,mnyika,Mdee,Heche, wageni toka nje watakuwepo mliomo humu na dar es salaam msikose.Miongoni mwa maada ni kujua falsafa ,itikadi za chama na uzalendo kwa kila mwanataifa hili. Nikatika viwanja vya 'tip' Yaani siwakukosa huo makamanda itakuwa ni funika mbaya!![/h]
   
 3. mashami

  mashami Senior Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante kwa taarifa kamanda!
   
 4. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  tupeni matukio ya mkutano wa kufunga semester dar
   
Loading...