Mwenye post graduate ya sheria anaruhusiwa kwenda law school?

WEKKI

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
477
145
Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea akasomaa??

Swali ni je wenye Postgraduate Diploma in Law Wanapokelewa pale law school?
 
Mkuu kwenye sheria yao pale section 22 wameandika bachelor of laws or its equivalent. Sasa tuna utata hapo
 
Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea akasomaa??

Swali ni je wenye Postgraduate Diploma in Law Wanapokelewa pale law school?
Haiwezekan..Law school wanasoma wenye LL.B tu.. (bachelor of Laws)
 
Acha Ligi lisilo na maana mwambie aende au nenda ww kwa hizo qualifications zako km utasoma...period
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
 
Mkuu fanya utafiti kabla ya kuandika vitu ukapotosha umma,,alokwambia Mzumbe hawasomi core course 16 zote zilizoorodheshwa law school ni nani? core course zote 16 Mzumbe wanasoma na mpaka sasa wapo waloingia cohort ya 23 na hawapaswi kusoma hizo core course upya.
 
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
mimi ni mtu wa Tuamini. Tulichosoma Law xul yote tumepitia toka Tuamini. Sijui hiy course mpya unayoongelea ni ipi sasa
 
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Unacho kiongea cki ekewi..coz hiyo Tumaini unayo iongelea me ndy nimesoma hapo
 
Tumaini mnasoma company..Succession mnasoma hizo course aisee.?? Kuna baadhi ta koz vyuo vingine hamsomi na ukiemda law school mnaanza kuzisoma upya
 
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Una digrii ya Sheria?
 
Jiamini mkuu huwezi soma Law enforcement halafu utake kwenda law school, kaza law enforcement inalipa, ukikataliwa Bongo jiongeze we ni mtu wa muhimu hata kwa zile tero groups, si umeenda range, umesoma intelligence, investigation , unaweza kumake bombs afu unataka kwenda kusimama mahakamani, usipoteze muda na knowledge.
 
Back
Top Bottom