Mwenye Picha Zenye Sura za Polisi wa Kikwete Wanapoua Watanzania Tunaziomba

ZenaTulivu

Senior Member
Jan 1, 2011
137
4
Hivi kuna mwana jf yeyote ambaye anaweza akawa na picha zinazoto sura walau hata ya askari mmoja tu wa Kikwete pindi alipokua akitekeleza amri ya kuwanyunyizia Wa-Tanzania wenzake risasi kama maji.

Yeyote mwenye picha za aina hiyo atuwekee hapa jamvini kwani wananchi tunataka kuwatambua na pia kupeleka salamu za aina hiyo hiyo ama kwa mhusika au vinginevyo uchungu huu utakavyotutuma.

Ahadi ya Kikwete wa mwaka wa katiba na kuangusha sherehe ikono taifa ikiomboleza tumeziona na kuzihifadhi rohoni. Aishiye kwa ncha ya upanga na mikono yake kutapakaa damu za watu wasio na hatia .......

Tafadhali mwenye picha hizo asicheleweshe.
 
HII HAPA MOJA ANGALIA

polisi%2Bwakidhibiti%2Bwaandamanaji.jpg
 
Hizi picha jamani wengine zinazidi kututia simanzi. Mama wa watu Josephina alifanya kosa gani kiasi cha kupigwa hivyo!!! Kama si kukomoa mtu ni nini!!! Jk damu hiyo utailipa hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom