Mwenye picha za Michael Jackson akiwa na Rais Ali Hassan Mwinyi alipozuru Tanzania mwaka 1992

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu mwenye na picha hizo azitungike humu. Itapendeza sana.....
Inanikumbusha mbali sana.....
 
fdb6fec56b06e82c7c8fa602ce2a6991.jpg

305d564f246479348bdef61351eec2ec.jpg

e435fc16c67dfef6c792bf4a1170ffd7.jpg
 
Pamoja na umaarufu kwenye maisha yake yote,
Bado ckumkubali na wala ctamkubali kwa kitendo Chake cha kuukana uhalisia wake na kujibadilisha kuwa mzungu
(Mungu amsamehe)
 
Alijuta sana alipozeeka. Ngozi inajikunja ikawa kwama mlemavu. Mungu huwa hasemi uongo......
Akikukataza kitu usifikiri anakuonea wivu la..bali anakuonea huruma
 
Pamoja na umaarufu kwenye maisha yake yote,
Bado ckumkubali na wala ctamkubali kwa kitendo Chake cha kuukana uhalisia wake na kujibadilisha kuwa mzungu
(Mungu amsamehe)
Maiko alikuwa na ugonjwa huu vitiligo universalis ambao humfanya mtu kuwa na skin lashes kama ameungua moto
28ba189272b08b68f7f03db92bdc98e4.jpg

Ugonjwa huu unatokana na matatizo katika Genes za mwili in short tunauita ni genetics disorder
Hivyo kutokana na hali hiyo mj ilibidi apewe vidonge vitakavyobadilisha muonekano wake wa ngozi
 
Pamoja na umaarufu kwenye maisha yake yote,
Bado ckumkubali na wala ctamkubali kwa kitendo Chake cha kuukana uhalisia wake na kujibadilisha kuwa mzungu
(Mungu amsamehe)
Alizid kua mmbaya wakati ana ngozi nzuri ru
 
Kwa hiyo ugonjwa huo unasbabisha pia Pua mpanuko kuwa Pua mchongoko?
Nywele kipilipili kuwa nywele
Kanjibahi?
 
Pamoja na umaarufu kwenye maisha yake yote,
Bado ckumkubali na wala ctamkubali kwa kitendo Chake cha kuukana uhalisia wake na kujibadilisha kuwa mzungu
(Mungu amsamehe)
Alishasema habadiri ngozi kwajiri ya kuuchukia wala kuukana uafrika
 
Back
Top Bottom