Mwenye Original betri ya lenovo phone a806 au kama unajua wanapouza tafadhali

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
Heshima kwenu wadau.

Naomba kujuzwa wanapouza original betri za simu aina ya lenovo a806 kwa Dar naomba mnielekeze.

Nimejaribu kutazama online mpaka itumwe naona ni process hivi kiasi tha's why nikaona niulize kwenu wadau.

Natanguliza shukran kwenu.

AHSANTE.
 
Hakuna mwenye kufaham au kuwa nayo wadau...?.
 
Mim naweza kukuagizia online ila itachukua muda kufika. Kama unaharaka nayo ni tatizo mkuu
 
Nami natafuta screen ya lenovo s90 sissley nimepasua kioo chake cha juu,mwenye kujua wapi ntapata tafadhali,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom