Mwenye nyumba anatembea na mke na notice juu

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
733
520
Jamaa yangu wa karibu amepanga maeneo ya Mbezi, na mwenye nyumba anaishi nyumba ya pembeni.
Jana kaja kwangu anataka ushauri, nikamwambia asubiri niongee na wazee then nitamjibu !
Ni hivi, huyo bwana ameishi kwenye hiyo nyumba miaka 2.Mwezi wa pili Baba mwenye nyumba katoa notice kuwa mkataba ukiisha basi na hakutoa sababu !
Imepita kama mwezi baada ya notice jamaa yangu kanasa meseji za mapenzi toka kwa baba nyumba kwenye simu ya mke wake.
kibaya zaidi namba imeseviwa kwa jina la kike lakini aliposoma msg akashangaa mwanamke gani anamtumia mkewe msg za hv. alipochunguza namba akakuta ni ya faza houz.
Huyu Dogo alishashtukia ingawa hakujali, the way baba nyumba anavyosalimiana na wife wa jamaa na jinsi nkewe anavyomsifia faza hauz kwanba hanaga shida kwa wapangaji ila mkewe ndo mkorofi !
jamaa yangu anafikiria amfuate mke wa fay.a hauz amweleze ukweli aje amletee bifu mkewe na suala liwe wazi kwamba wenye mali pande zote washajua. Bado hajamwuliza mkewe chochote. Mkataba bado wiki moja kwisha !je akae kimya ? simu zipo, hata akihama ataendelelea!
 
Nyumba za kupanga lawamaa, nahama Dar es salama na hamaee! oooh! nahamaa
 
Hapo jamaa yako anaachwa na hiyo nyumba anapewa mkewe
 
Jamaa yako ni dhaifu sana na hajabahatika kupata mtu wa kumwambia. Msaidie kumwambia hilo. Hiyo ni kama mhusika wa kisa hiki sio wewe mwenyewe
 
Jipu linauma ILA pona yake ni kulitumbua! Litumbue kwa gekima na kama vipi hama hapo, you don't have to argue nae
 
Nitarudi subiri niitafakari hii

Ila jamaa ana kifua aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kumbandua mke wa mzee mwenyw nyumba kusawazisha matokeo
 
kama vipi naye amuhalibie kwa waifu wake ngoma iwe droo afu amteme mkewe akapange nyumba kwingine
 
Hii nzuri zaid aseme Na motherhouse taratibu hata out amgegede then tmbwili lianzshe mwisho Wa cku sepa achinaa Na dem
 
Mwambie kuanzia leo aanze mwendo wa kuishi rent free, yani asilipe kodi kabisa, father house akimdai amuambie tu 'nenda kwa wife atakupa!!'
 
Huyo Jamaa yako ni "Mpole" kweli kweli..

Mwambie avumilie tu, hayo ni majaribu ya dunia.. Na yatakwisha
 
Back
Top Bottom