Mwenye nyimbo hizi tafadahli wapendwa

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
kwa yeyote mwenye nyimbo hizi tafadhali naomba azitupie hapa kwani nazihusu sana na nimeshindwa kuzipata ila najua ha jf mwisho wa matatizo,nyimbo zenyewe ni kama ifuatavyo:

1.Bizman-ishara ya upendo
2.TOT Band-mtaji wa masikini

natanguliza shukarni za dhati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom