Mwenye noti ya Mia Tano jamani nanunua kwa laki moja

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,816
Samahani sijasalimia wanajukwaa

Nina shida sana na noti ya Mia tano ndani ya siku hizi tatu Jamani please mwenye nayo Naombeni tusaidiane Nampa laki moja keshi. Noti yoyote ya Mia tano yakitanzania anicheki PM. Natumai mtanisaidia wanajukwaa ahsante sana.

images%20(61).jpg
 
Samahani sijasalimia wanajukwaa

Nina shida sana na noti ya Mia tano ndani ya siku hizi tatu Jamani please mwenye nayo Naombeni tusaidiane Nampa laki moja keshi. Noti yoyote ya Mia tano yakitanzania anicheki PM. Natumai mtanisaidia wanajukwaa ahsante sana. View attachment 2244302
Nenda mnazi mmja pale
Utakuta watu wametandika hela
Za zamani chini wanauza

Ova
 
Samahani sijasalimia wanajukwaa

Nina shida sana na noti ya Mia tano ndani ya siku hizi tatu Jamani please mwenye nayo Naombeni tusaidiane Nampa laki moja keshi. Noti yoyote ya Mia tano yakitanzania anicheki PM. Natumai mtanisaidia wanajukwaa ahsante sana. View attachment 2244302
Mimi ntakupa noti ya 10000 mkuu unipe hiyo 90000 mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom