Mwenye namba ya mkuu wa wilaya ya Kasulu!

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
habari,nashida sana na namba ya mkuu wa wilaya ya kasulu kunatukio la uvunjifu wa amani watu wamepigwa na mtendaji wa kijiji kakataa kutoa barua watu hao waende polisi kupata pf3 kwa hatua nyingine nataka nimjulishe kwani yeye ndiyo mlinzi wa amani,polisi sina imani nao kabisa kwani wamekuwa wanambeba huyu kijana kwa kuwa ni mtoto wa diwani mstafu!!
 
Aise mi najua ofisi yake ilipo ila sina simu. Ni kijiji gani na kata gani labda ili kama atasoma uzi huu afuatilie hata kabla hajapigiwa simu?
 
Mkuu wa wilaya hiyo si Col Martin Mkisi ninamfaham kwavle nliwah kumwacha akiwa mkuu wa shule ya jeshi Jitegemee pale..,ngoja waje wenye kuweza kupata no zake watakupatia maana huenda walikuwa hawajui mkuu wa wilaya ya kasulu ni nan
 
habari,nashida sana na namba ya mkuu wa wilaya ya kasulu kunatukio la uvunjifu wa amani watu wamepigwa na mtendaji wa kijiji kakataa kutoa barua watu hao waende polisi kupata pf3 kwa hatua nyingine nataka nimjulishe kwani yeye ndiyo mlinzi wa amani,polisi sina imani nao kabisa kwani wamekuwa wanambeba huyu kijana kwa kuwa ni mtoto wa diwani mstafu!!
HATA PASIPO BARUA KUTOKA KWA VEO, WAKIFIKA POLISI WATAPATA PF3! WAENDE TU BILA HIYO BARUA! SASA WAKIFIKA POLISI NA WAKANYIMWA PF3 NDO MPIGIE DC KWA KUWA PF3 INATOLEWA KWA MTU YEYOTE YULE PASIPO VIGEZO VYOVYOTE
 
Tuko na Mh. Mwigulu humu jamvini na namba yake aliwahi kuiweka humu katika moja ya mabandiko yake. Itazame hapa
1484074804603.jpg
 
habari,nashida sana na namba ya mkuu wa wilaya ya kasulu kunatukio la uvunjifu wa amani watu wamepigwa na mtendaji wa kijiji kakataa kutoa barua watu hao waende polisi kupata pf3 kwa hatua nyingine nataka nimjulishe kwani yeye ndiyo mlinzi wa amani,polisi sina imani nao kabisa kwani wamekuwa wanambeba huyu kijana kwa kuwa ni mtoto wa diwani mstafu!!
Waambie waende polisi, watapokelewa. Hakuna utaratibu wa kwenda na barua japo kuna sehemu inatakiwa
 
HATA PASIPO BARUA KUTOKA KWA VEO, WAKIFIKA POLISI WATAPATA PF3! WAENDE TU BILA HIYO BARUA! SASA WAKIFIKA POLISI NA WAKANYIMWA PF3 NDO MPIGIE DC KWA KUWA PF3 INATOLEWA KWA MTU YEYOTE YULE PASIPO VIGEZO VYOVYOTE
Vigezo uwe umeshambuliwa mkuu. Huwezi kutukanwa hafu ukaomba fomu hiyo
 
Jaribu hii link utaweza kumpata
GOVERNMENT DIRECTORY DECEMBER,compressed 2016.pdf
 
Back
Top Bottom