Mwenye mtaji wa milioni 20 na hana business idea

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Hellow...

Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho.

Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika fasta pia tulia tu. Mtaji wa 20M utapata net profit ya 400K kwa mwezi.
 
Si bora nitafute odd 1.5 leo niweke iyo 20mil=30mil,-20mil=10mil as a profit.
Si ilimradi ni risk tu?au kwa mawazo hayo na mimi nitulie?
 
Hellow. Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika fasta pia tulia tu. Mtaji wa 20M utapata net profit ya 400K kwa mwezi.

Kwahiyo ni faida ya 2% kwa mwezi
 
Kuna vikampuni vya mikopo kibao vinatafuta wateja.

Why usiende kwenye ofisi zao mkubaliane wazo lako kwa kugawana faida kwa commission?

microfinance zilizojaa kibao huzioni.
 
Mkuu Husninyo Kama una kampuni watu wakainvest kwako hiyo 20M ukawapa 2% sio mbaya sana maana max interest inavyoagizwa na vyombo husika ni 3.5%.

Ila ungetafuta partners kabisa na ukawasajili kule brela ili mfanye kwa uhakika na kukuza mtaji ingekua powa zaidi
 
Back
Top Bottom