darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,893
- 4,023
Moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO
size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini
Location :Iringa vijijini
Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.
Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH
idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000
Duration miezi minne (4 )
Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi
Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa
Uzi tayari.