Mwenye mimba anapata hedhi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye mimba anapata hedhi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Baba Matatizo, May 10, 2011.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habar madaktar?Nauliza hivi,Mwanamke mwenye MIMBA anaweza kuendelea kupata hedhi kama kawaida?Kama inawezekana tatizo nini?Naombeni MSAADA
  NAWASILISHA
   
 2. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wengine hupata hedhi, ila huwa inakuwa sio nyiingi kama ile uliyoizoea. Ngoja madaktari waje wafafanue zaidi..
   
 3. M

  Munghiki Senior Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hatakiwi kupata hedhi akiwa mjamzito,mpeleke hospital maana hiyo ni dalili ya mimba kutaka kuharibika(threaten abortion).
   
 4. l

  lauti Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimewah sikia mtu akipata hedh kwa % kubwa anakua na tatizo so inabid awah hospital,ila sometime inakua hali ya kawaida na tatizo linakuwa halipo,wahin hospito
   
 5. i

  isinkini Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokwa na damu wakati wa ujauzitoinategemeana na umri wa mimba, yaweza kuw:
  1. mimba kuharibika ( abortion )
  2. antepartum hemorrhage
  3. au siyo mimba kabisa (uvimbe )
  jaribu kumwona daktari
   
 6. BLISS

  BLISS Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakushauri muone docta, ingawa hujasema ni damu ya aina gani ? na ni kiasi gani?
  unapokuwa mjamzito katika wiki za kwanza kuna baadhi ya wakina mama hupata vitone vya damu ambavyo sio light kama hedhi ilivyo na huwa haitoki kama hedhi, inaweza kuwa kama inaelekeae kwenye pink au rangi ya kahawa hivi, yaani damu iliyochanganyika na weusi, hii sio mbaya endapo itatoka kwa vitone. unashauriwa tu kupumzisha mwili mahali pamoja,usifanye kazi nzito.. but kama itakuwa nyingi kiasi cha kuvaa ped ni bora awahi hosp, ingawa kwa kiasi kikubwa ni hali ya kawaida indapo itakuwa inatoka spots of blood..but sometime huwa inaweza kuwa na sababu hizi..

  mimba kuharibika
  mimba iliyopandikizwa
  sex
  kazi nzito
  mshtuko
  na mengine mengi...
  but ukiona dalili hii imezidi nenda hosp,
   
 7. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  1)Mwanamke mwenye ujauzito hawezi kupata hedhi
  Ngoja turudi kwenye hilo tatizo,naomba majibu ya haya maswali
  1)damu imeanza toka wakati ujauzito una muda gani?
  2)ni kiasi gani cha damu kilitoka?
  3)kuna dalili nyingine yeyote iliyoambatana na damu kutoka au kabla ya damu kutoka? mfano tumbo kuuma nk
   
 8. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mwanamke mjamzito hawezi kupata hedhi yake kama hapo awali,kutokwa na damu wakati wa ujauzito iwe mwanzoni mwa ujauzito au mwishoni mwa ujauzito ni ishara kuwa ujauzito unamatatizo au hakuna ujauzito
   
 9. s

  shumbusho New Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna sababu yoyote kwa nomal circumstances inayoweza kusababisha damu wakati wa ujauzitu. Lazima liwe tatizo. Japo laweza kuwa dogo kama mshtuko, msuguo, nk, au kubwa kama mimba kuharibika. Nashauri usichukulie uzoefu. Ukiona damu tu, kimbia hospitali iliufanyiwe uchunguzi hata kama ilishawahi kukutokea hapo awali.
   
 10. vena

  vena JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAIWEZEKANI kupata HEDHI wakati unamimba,
  ila inawezekana kutoka damu ukeni (vaginal bleeding) wakati unamimba kwasababu ya matatizo mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa mimba, rapture de membarana, etc, inabidi ukaonane na gynecologist haraka, it's possible huna mimba au kama unayo inaanza ku take a wrong line.
  c u.
   
Loading...