Mwenye mbwa aina ya German Shepherd aniuzie

mkuu unataka pure breed au hawa wanaofugwa na waswahili?
uko wapi nikuagizie kwa wafugaji?
 
 
Kwa mwenye mbwa wa aina taja hapo juu ani PM tufanye biz.
Sitaki hata kusikia hao takataka wagerman yaani wanapiga kelele sijawahi kuona katika historia ya wanyama si mchanasi usiku! Yaani huwa napata hasira usiku natamani nitoke na gongo niwagonge kichwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom