Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Najaribu fikiri ni vipi Katiba inaweza kuweka Mahakama ya kadhi bila ,kuicha ktk lawama ambazo serikali na Bakwata wanazipata Leo?
Pamoja na ukweli kuwa hata wakristu nao wanaweza weka Amri 10 ktk mahakama yao,na wakatoliki nao watapitisha sheria zao za kanisa.Pia kutaka serikali igharamie na kuiweka mahakama ya kadhin ni unyonyaji na contradcition ktk Katiba ya nchi.Kuwa na sheria mbili ambazo mara nyingi zitagongana.
Tunajua ni mpango wa wachumia tumbo ambao wanadhani watapata kitengo cha kutuliza njaa,na baadaye watakaokosa wataanza tangaza kutoitambua km leo tuanvyo Bakwata.
Wenye mawazo mbadala watusaidie.Ni vipi serikali itaweka mahakama ya kadhi bila kuingilia uislam?Ni vipi nchi ikaendeshwa kwa sheria tofauti ktk jambo moja na zote zikawa na mamlaka sawa?Km si mamlaka sawa basi sheria za nchi zitatawala ili taifa lisiwe la Kiislam.Sasa itakuwa vipi tofauti na waislam kujianzishia mahakama yao?kama hawajaikubali bakwata ni vipi wataikubalia mahakama ya kadhi?