Mwenye mawasiliano ya Ikizu Secondary au Bupandagila Secondary anisaidie

sirmz ndola

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
273
32
Jamani wadau ambaye ana mawasiliano ya shule hizo anisaidie au kama kuna mtu yeyote anajua seminary nzuri nyeye A- Level kanda ya ziwa anisaidie mawasiliano yake
 
Kuwa mstaarabu ndugu namba ya mtu unaiweka hadharani hivi kwanini usi mtumie Pm?
Mkuu hakuna mwenye akili chache humu ndani, hili ni jukwaa la elimu na sio jukwaa la wajinga. Kama kuna mwenye mambo yake binafsi atengeneze jukwaa lake. Nimemaliza kazi yangu ambayo nilimuahidi jamaa. Am real sorry kama kuna niliemkwaza. Naonyesha ubinadamu wangu kuwa sijakamilika.
 
asante sana mkuu hujakosea hata kidogo mungu akubariki sana achana nao hao waelewa uchwara
 
asante sana mkuu hujakosea hata kidogo mungu akubariki sana achana nao hao waelewa uchwara
Nyote mmekuta akili zenu, zinafanana, hakuna alie bisha kuwa hili ni jukwaa la Elimu lakini inasikitisha kama watumiaji ni wenye akili kama zenu, hujakatazwa kumpa mtu contact, na kila mmoja yupo hapa kwania ya kusaidia na kusaidiwa. Sasa wewe mawasiliano ya mtu binafasi si ya ofisi una weka hapa hadharani. Wakati kuna PM (private message)
Halafu unaleta kebehi eti waelewa uchwara.
Mimi na ninyi waelewa uchwara ni akina nani?
Kuweni kifikra msikue miili tu.
 
Back
Top Bottom