First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Jamani hakuna ambae si shahidi wa maswala ya mapenzi kwamba ni kwa jinsi gani yanavyotesa,
lakini, ni nani sasa ambae anaweza kuwa ndo anaaminika kuwa na upendo wa kweli?
sorry nitakuwa nje kidogo na maswala ya malovee lakini still niko kwaenye point inayohusiana na upendo,
ni kweli mimi nawaamini ingawa sio wote, namwamini kwa kiasi huyu mtu mama, kwa sababu,
1. ndo alienizaa, akanitunza hadi kuwa mkubwa
2. nilipozaliwa tu alipunguza mapenzi kwa baba akanihamishia mimi, nilikuwa siwezi hata kuzuia shingo
3. nilipopata shida yeye ndo alikuwa wa kwanza kunionea huruma huku baba akijidai hard core
4. aliposikia nimepata ajali aliangua kilio tena kwa sauti huku akilia mwanangu mwanangu
5. nilipokuwa natembelewa na wasichana wasioeleweka yeye alinigombeza na kusema wataniua kwa UKIMWI, lakini baba aliniona niko sahii kwamba eti kidume chake nimeshaanza kupendwa
6. siku naenda shuleni mama aliniandalia vitumbua vya kutumia nikiwa ndani ya basi
7. asubuhi mama ndie aliehakikisha nimepanda gari, huku mdingi akiliaga kwa kusema "dogo tutawasliana kwa barua"
8. ingawa nilimbishia baada ya kuwa mkubwa lakini ukweli ni kwamba mimi ndie niliekuwa nikimchafua sana mama kwa kumnyea, kuniogesha kila siku nk
9. wakati nina shida hata kama ni kwa upande wa baba, nilimwelezea mama kwanza ndo yeye amweleze baba(mshua yeye alishanifundisha uoga tangu utotoni
10. yeye ndie alienibeba miezi tisa na kunizaa kwa uchungu mwingi sana, wakati huo mdingi akiwa nje ya labour anasubiria kidume kwa raha zote............
11. nani alikuwa ananibeba?
12. nani ambae nyonyo zake nilikuwa nikiziuma wakati meno yanaota?
13. nani alikuwa ananibeba mgongoni kila siku?
Naumizwa sana na tabia ya akina dada ya kutupa mimba , please dada zangu, msiwatupe watoto, nyie ndo akina mama ambao michango yenu mimi naitambua kwa dhati kabisa...........
Nani kama mama?
message from,
First Born,
tchaooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!eace: