Mwenye makosa ni nani? Mke au mume?

Hapo kosa kwa mtazamo wangu ni wa mume ambaye hawezi pambanua haki ya mke na ndg zake wengine. Kukosa maelewano huko tu nimeona pengo kubwa mno ambalo tayari linavunja ndoa ambayo ilishabomoka siku nyingi. Tena mke akiacha kazi na gari kuuzwa manyanyaso yatakuwa mengi MNO hata miezi 2 kwangu ni mingi mno kwao kuendelea kuwa kama mke na mume maana hapo ndoa haipo siku nyingi tu kulingana na kisa hicho. Ogopa SANA mwanamke akisema simpendi mume eti kivile.
 
Back
Top Bottom