Mwenye makala hii iliyochapwa na Mawio

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
8,084
5,208
Wakuu, heshima kwenu.
Baada ya vyama vya siasa kupata wagombea wake katika nafasi za urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 uliomuweka madarakani Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kuna makala ilichapwa katika gazeti la Mawio ambayo ilimchambua mmoja wa wagombea kuhusu tabia na matendo yake.

Makala ile ya kitaalamu ilieleza katika hitimisho lake kuwa mgombea yule ni mgonjwa, kwa uhakika, na kutokana na tatizo alilonalo sio ajabu, wakati usipotarajiwa, anaweza kuamua au kutenda jambo ambalo linaweza kuishangaza dunia. Tafadhali, mwenye gazeti hilo au hata ukurasa huo tu wenye makala hiyo, naomba ani pm!
 
Kwanini unaitaka sasa?
Nataka kufanya rejea, hilo gazeti nilikuwa nimelitunza mahali fulani ofisini kwangu, lakini bahati mbaya nilihamishia ofisi mahali pengine na wakati wa kuhama nadhani kuna mtu aliligeuza kuwa uchafu!
 
Nenda ofisin kwako ukaulizie, watu tuache kutunza vitu vya maana tutunze gazeti la mawio?
 
Back
Top Bottom