Mwenye majina ya walioitwa usaili SIDO

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,075
684
Tafadhali kama kuna mtu ambaye kapata majina ya walioitwa kwenye usaili wa SIDO kwa nafas za planning, research,.........maaana nimeona tangazo leo kua wametoa majina kwenye website yao ila nkifungua link haitak......
mwenye nayo plz tunaomba ushare
 
inaonekana website yao ina tatizo ngoja tuvumilie labda itafunguka maana hawa jamaa hawatoagi majina sehemu nyingine tifaut na web yao
 
Hayo hapo kazi kwenyu.
 

Attachments

  • KUITWA_KWENYE_USAILI_WA_MCHUJO_012015-Final.doc
    600 KB · Views: 439
Back
Top Bottom